Ruka hadi kwenye tangazo
Reliable industrial supply partner in Tanzania+255 69 944 2611   •   info@multflexgeneralsupply.co.tz
Careers at Multflex

Nafasi za Kazi
Multflex General Supplies

Jiunge na timu inayowezesha usambazaji wa vifaa na huduma kwa wateja wetu Tanzania.

Job Vacancies • Mwanza, Tanzania

Nafasi za kazi zilizopo

Angalia matangazo ya ajira ya Multflex General Supplies Limited, Nyakato, Mwanza, Tanzania. Soma tangazo husika kwa majukumu, sifa na jinsi ya kutuma maombi.

Maombi yanapokelewa

Dereva wa Malori (Truck Driver)

Nyakato, Mwanza • Muda wote • Transport & Logistics

Tunatafuta dereva mwenye leseni halali ya madaraja C na E, Cheti cha Ufundi Daraja A na Cheti cha Defensive Driving. Angalia sifa zote na nyaraka zinazohitajika.

Soma Tangazo na Uombe →