Maombi yanapokelewa
Soma Tangazo na Uombe →Dereva wa Malori (Truck Driver)
Nyakato, Mwanza • Muda wote • Transport & Logistics
Tunatafuta dereva mwenye leseni halali ya madaraja C na E, Cheti cha Ufundi Daraja A na Cheti cha Defensive Driving. Angalia sifa zote na nyaraka zinazohitajika.
